Tom anaumwa jino. Jino lake linauma sana.
トムは歯が痛いです。歯がとても痛みます。
Anahitaji kumwona daktari wake wa meno, lakini kwanza anahitaji kitu fulani kwa ajili ya maumivu.
歯医者に行った方がいいです。しかし、まず、痛み止めが要ります。
Anaenda katika duka la dawa la jirani.
一番近い薬局に運転して行きます。
“Nina maumivu ya jino, una chochote cha kunisaidia?” Anauliza.
「すみません。歯が痛いんです」と言います。「何か痛みに効くものありますか?」
“Ndiyo, hizi ni baadhi ya dawa za maumivu. Hauhitaji maelekezo ya jinsi ya kutumia dawa hii.”
「はい、この痛み止めはいかがですか。これは処方箋(せん)が要りませんよ」
“Asante. Zinagharimu kiasi gani?”
「ありがとう。いくらですか?」
“Zinagharimu yuro tisa. Lakini ni lazima uonane na daktari wa meno.”
「9ユーロです。でも、歯医者に診てもらった方がいいですよ」
“Sawa, nitampigia simu daktari wangu wa meno kesho asubuhi.”
「そうですね。明日の朝、歯医者に電話します」
“Kama utahitaji dawa kubwa zaidi, utalazimika kupata maelekezo ya jinsi ya kuitumia kutoka kwa daktari wa meno au daktari.”
「もし、もっと強い薬が要るなら、歯医者か医者の処方箋(せん)が必要です」