Boran na binti yake wako matembezini.
ボーランと娘は散歩に出かけます。
Wanafika mgahawani na kuingia.
カフェに着いて、中に入ります。
Mhudumu wa mgahawa anawakaribisha meza.
カフェでは店員がテーブルへ案内してくれます。
Binti yake anaagiza soda.
娘はソーダを注文します。
Anamimina soda kwenye glasi.
コップにソーダを注いでくれます。
Boran anaweka sukari kwenye kahawa yake.
ボーランはコーヒーに砂糖を入れます。
Boran na binti yake wanaondoka mgahawani.
ボーランと娘はカフェを出ます。