Anakula pizza. Ni tamu.
He is eating pizza. It is tasty.
Anakula nyama ya kuku. Ina pilipili.
She is eating chicken. It is spicy.
Anapenda mboga za majani.
She likes vegetables.
Hapendi nyama. Ni mla mboga.
She does not eat meat. She is a vegetarian.
Hapendi karanga. Ana mzio nazo.
He does not eat peanuts. He is allergic to them.
Wanapika. Kinanukia vizuri.
They are cooking. It smells good!