Back to stories list
Regular PDFs (full-page)
Bilingual PDFs
Booklet PDFs (for printing)
Ananawa mikono yake.
He washes his hands.
Ananawa uso wake.
He washes his face.
Anapiga mswaki.
He brushes his teeth.
Ananyoa nywele zake.
He shaves.
Anaosha nywele zake.
He washes his hair.
Anajifuta maji.
He dries himself.
Anachana nywele zake.
He combs his hair.
Anakata kucha zake.
He cuts his fingernails.
Written by: Espen Stranger-Johannessen
Illustrated by: Aakanee
Translated by: Jacob Haule
Read by: Idrisa Mbaraka